Jambo, mimi naitwa Kezzy Wambui.
Nimetoka na kuzaliwa mji wa Nakuru, Kenya na kwa sasa nimeishi uingereza miaka saba. Nimekua nikishiriki katika kanisa la Champions kwa miaka minne na nusu na ninatumikia katika timu ya vijana. Ningependa kukusaidia au kuwasaidia mpate msimamo wenu katika kanisa hili na uweze au muweze kupata kikao chenu na kupaita nyumbani. Niko hapa kukusaidia au kuwasaidia na chochote na maswali yoyote. Tafadhali nitumie barua pepe katika swahilli@championschurch.org.uk